iqna

IQNA

IQNA – Taasisi ya Al-Azhar na Wizara ya Wakfu ya Misri zimemuenzi Sheikh Mahmud Ali Al-Banna, mmoja wa wasomaji wa Qur’ani mashuhuri wa karne ya 20, katika maadhimisho ya kumbukumbu ya kifo chake.
Habari ID: 3480978    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/21

TEHRAN (IQNA) – Mahmud Ali Al Banna alikuwa qarii mashuhuri wa Qur’ani aliyezaliwa katika kijiji cha Shobrabas kaskazini mwa Misri mnamo Disemba 17, 1926.
Habari ID: 3472986    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/21